ZANZIBAR TOURS

TANGAZO!! TANGAZO!! TANGAZO!!🔊📣🔈🔉
Habari za Muda. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa. Nichukue fursa hii kuwafahamisha kwamba Sasa ile Tour yetu kwa ajili ya Wanandoa kufurahia na kutembelea vivutio mbalimbali sasa imewadia. Na awamu hii tunakwenda ZANZIBAR kutembelea maeneo muhimu ya Utalii, tutakwenda kwa Ndege au Boat, tutalala hoteli yenye Hadhi ya nyota tano na kupata Semina ya Malezi na Ndoa tukiwa katika madhali nzuri yenye kuvutia.

Tutakua na siku mbili (2) za ku enjoy tukiwa Zanzibar na kupata chakula cha pamoja na watu mbalimbali mashuhuri huku tukitembelea maeneo muhimu ya utalii. Kama utapenda kuungana nasi katika safari hii kuanzia tarehe 24 – 26 Aprili 2026 basi unaweza kuchangia kidogo kwa kifurushi utakachopenda kama ni Tzs 1,995,000 au 1,765,000 kama inavyoonekana katika vipeperushi vyetu. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki katika Tour hii muhimu unaweza kutupigia kwa namba 0765154027 au 0658970641.
Karibuni wote tushirikinkwa pamoja kwani tumewaandalia mambo mazuri na nafasi ni chache mno.

Imeandaliwa na Taasisi ya Ndoa na Malezi katika jamii (MAPCO) kwa kushirikiana na Mbina Travel Agency. Karibuni